• Latest News

    Sunday, 4 March 2018

    MWIGIZAJI WA FILAMU ANAYESEMA TUPAC ANAISHI NDANI YA MWILI WAKE.


    Lala Kent anasema Tupac yuko hai ndani ya mwili wake.
    "Naimani kuwa Tupac alivyokufa alichukua mwili wangu na kuendelea kuishi duniani , najua mnanicheka ila mimi naongea kweli , hivi karibuni nimejichora tattoo ya Thug Life kama ya Tupac kwenye mguu wangu wa kulia "amesema Lala Kente.

    No comments:

    Post a Comment