Fastclicktz.Blogspot.com
Mwanamuziki Dj na Mwanamuziki kutoka nchini Sweden Avicii amefariki jana april 20 ,2018 akiwa na umri wa miaka 28 .
DJ Avicii ametamba na baadhi ya nyimbo kali kama vile Wake Me Up, Hey Brother,Lonely Together na nyingine nyingi.
No comments:
Post a Comment