• Latest News

    Tuesday, 6 March 2018

    RIHANNA ANAFIKIRIA KUWA NA MTOTO WAKE WA KWANZA NA MPENZI WAKE.


    Rihanna ambaye ni  staa wa pop kutoka ugaibuni anafikiria kuwa na mtoto wake wa kwanza na mpenzi wakeni Hassan Jameel ambaye ni Billionea.
    Hollywood life wanataarifa kuwa Rihanna na Hassan wameweka siri mahusiano yao ili kuwa na uhakika zaidi kuhusu maisha yao ya baadaye  kama Baba na Mama.
    Staa Rihanna alishawahi kuwa kwenye mahusiano na baadhi ya mastaa  Chris Brown,  Travis Scott na leonardo dicaprio pamoja na Drake.

    No comments:

    Post a Comment