Leo March 4 ,2018 ilitakiwa iendelee michezo kazaa Seria A,lakini imehairishwa kufuatia kifo cha ghafla cha na hodha wa timu ya Fiorentina Davide Astori.
Davide amefariki akiwa usingizini kwenye chumba cha hotel waliyokuwa wamefikia,wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Udinese jioni ya leo march 4,2018.
Davide amefariki akiwa na umri wa miaka 31.



No comments:
Post a Comment