Club ya yanga sc leo April 21 ,2018 imepangwa kundi D katika mashindano ya CAF Confederation Cup yatakayo fanyika mwaka huu 2018.
Yanga sc imepangwa kundi moja na,Rayon Sports ( Rwanda),USM Alger(Algeria), na Gor Mahia Fc ya Nchini kenya.
Fastclicktz.Blogspot.com
No comments:
Post a Comment