• Latest News

    Wednesday, 14 March 2018

    SELENA WILLIAMS KUTAMBULISHA BIDHAA ZAKE ZA UREMBO.

           share habari na marafiki zako.
    Baada ya mastaa kufanikiwa kuuza bidhaa zao za urembo naye Serena Williams anaelekea kutambulisha bidhaa zake za  zitakazo kuwa zinaitwa Aneres
    Bidha hizo ni pamoja na Mafuta ya ngozi, makeup-removing,manukato, makeup kits, Sabuni, lipstick, lipgloss, Eye shadow, Eyeliner na mascara.

    No comments:

    Post a Comment