• Latest News

    Wednesday, 14 March 2018

    MTANDAO WA SNAPCHAT WAAOMBA RADHII KWA KOSA WALILO FANYA.

          Share habari na marafiki zako.
    Mtandao wa Snapchat umeomba radhi baada ya kukosea na kutumia ugomvi wa Chris Brown na Rihanna kwenye tangazo lao la Promising ,ambapo tangazo hilo lilikuwa likiuliza mashabiki kama Je ! wangependa kumpiga kofi Rihanna ?  au kumpiga ngumi Chris Brown ?
    Mtandao huo umeomba radhi na kuondoa tangazo hilo. 

    No comments:

    Post a Comment