• Latest News

    Saturday, 3 March 2018

    WATU WAWILI WAMEFUNGWA BAADA YA KUMCHEZEA RAIS RAFUU.


     Watu wawili wamefungwa baada ya kumchezea rafu Rais wa Burundi Pierre Nkurinziza kakika mchezo wa mpira wa miguu mnamo February 3,2018.

    Watu hao walikutwa na makosa ya kupanga njama za kumdhuru Rais huyo kwa makusudi baada ya kumchezea rafu mara kadhaa wakati wa mchezo huo .

    No comments:

    Post a Comment