• Latest News

    Saturday, 3 March 2018

    VIOLA DAVIS NA LUPITA NYONG'O WATAJWA KUIGIZA FILAMU HII.

            share habari na marafiki zako.

    Viola Davis naLupitaNyong’o wametajwa kucheza kwenye filamu mmoja ya kampuni ya TriStar Pictures iliyopewa jina La The woman king.
    KwamujibuwaTheHollywoodReporter filamu hiyo ya The woman king itahusu mjii mkubwa uliowahi kuwepo Afrika wa Dahomey katika karne ya 18th na 19th.
    Viola ataigiza kama jenerali jeshini na aliyepigana vita na mtoto wake wa kike  Nyong’o dhidi ya wafaransa na makabila mengine kwenye eneo hilo.

    No comments:

    Post a Comment