• Latest News

    Saturday, 3 March 2018

    MCHEZO WA PRISONS FC NA MBAO FC UMEHAILISHWA KUTOKANA NA SABABU HII.


       Leo March 3,2018 ligi ya  VPL imeendelea kwa michezo kazaa ni pamoja na mchezo wa Prisons fc dhidi ya Mbao Fc kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

     Ambapo mchezo huo umeahirishwa na waamuzi  dk ya 50 kutokana na mvua nyingi inayo endelea kunyesha mkoani Mbeya.

     Pande zote mbili zimekubaliana kuwachezo umaliziwe siku ya kesho jumapili march 4 ,2018 saa nne.Prisons wakiwa wanaongoza goli moja lililo fungwa na Mohammed Rashid dk ya 11.

    No comments:

    Post a Comment