• Latest News

    Sunday, 4 March 2018

    SINGIDA UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 1-0 TOKA KWA AZAM FC.


    Singida United imeshindwa kuindoka na point tatu mbele ya Azam  baada ya kukubali kufungwa  goli 1-0 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa uwanja wa Azam Complex usiku wa jana Murch 3,2018.
    Azam imefikisha pointi 38 kwenye msimamo wa ligi imiwa na mchezo mmoja mkononi huku Singida United ikiwa na pointi 34.

    No comments:

    Post a Comment