• Latest News

    Tuesday, 6 March 2018

    RICK ROSS AMESHA TOKA HOSPITALI BAADA YA KUPOTEZA FAHAMU J´MOSI ILIYO PITA.


     Rick Ross ,Hatimaye ameruhusiwa baada ya kuwa chini ya uangalizi wa madaktari kwa siku 4 ambapo Siku ya Jumamosi iliyopita alipoteza fahamu na kushindwa kupumua .
    Taarifa zinadai kuwa Rick Ross  amesha toka hospitali na kwenda nyumbani baada ya hali yake  kuwa sawa .

    No comments:

    Post a Comment