• Latest News

    Friday, 9 March 2018

    FA YA MUADHIBU KOCHA WA MANCITY PEP GUARDIOLA

    Chama cha soka England FA   kimetangaza kumuadhibu kocha wa Man City Pep Guardiola ambaye alifanya kosa la kuvaa ribbon ya njano katika mchezo wa  EPL. Ambapo FA ilimpa nafasi ya kujitetea na kitendo hicho cha kuvaa hiyo ribbon ya njano.
       Kutokana na kitendo chake cha kupenda kuvaa ribbon ya njano mara kwa mara katika michezo ya  Ligi Kuu England,nembo hiyo ya njano  inahusishwa na masuala ya kisiasa ya  nchini Hispania.
        FA  imetangaza kumpa onyo kali na kumtoza faini ya pound 20,000  kwa kosa hilo.

    No comments:

    Post a Comment