• Latest News

    Thursday, 15 March 2018

    FC BARCELONA YAIADHIBU CHELSEA GOLI 3-0


            share habari na marafiki zako
    Club ya Chelsea wakiwa ugenini usiku wa wa jana wamejikuta wakikubali kufungwa magoli 3-0 dhidiya Fc Barcelona.

    Fc Barcelona wamefuzu kwa jumla ya magoli 4-1, ambapo magoli hayo ya  Barcelona ya  yalifungwa na Lionel Messi  aliyefunga mawili dakika ya 3 baada assist ya Suarez dakika ya 63 na Osman Dembele dakika ya 20 yabmchezo huo.
     FC Barcelona inaungana na timu ambazo tayari zilikuwa zimefuzu robo fainali Man City Juventus, AS Roma,Sevilla, Real Madrid, FC Bayern Munich,Liverpool.

    No comments:

    Post a Comment