
share habari na marafiki zako.
UEFA Europa League hatua ya 16 bora imeendelea usiku wa jana march 15 ,2018 barani Ulaya kwa michezo nane ya marudiano , moja ya mchezo ulikuwa ni wa Arsenal dhidi ya AC Milan.
Arsenal walikuwa wenyeji wa AC Milan katika uwanja wa Emirates lakini AC Milan waliingia katika uwanja huo wakiwa , AC Milan baada ya mchezo kwanza kupoteza walio fungwa na miamba wa Emirates kwa magoli 2-0 hivyo jana walihitaji ushindi wa goli 3-0 ili kuweza kuitoa Arsenal kwenye michuano hiyo .
Arsenal imeiondoa AC Milan katika michuano ya UEFA Europa League hatua ya 16 bora kwa ushindi wa jumla ya magoli 5-1, magoli ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck kwa penati dakika ya 39 na 86 Granit Xhaka kufunga goli la pili dakika ya 71, goli pekee la AC Milan lilifungwa na Hakan Calhanoglu dakika ya 36 ya mchezo huo.


No comments:
Post a Comment