• Latest News

    Wednesday, 14 March 2018

    DAVIDO ATANGAZA UJIO WA ALBAM YAKE MPYA.


    Staa kutoka nchini Nigeria Davido ametangaza kukamilika kwa albam yake 

    Davido hajatoa album toka alivo toa Omo Baba Olowo ya mwaka 2012 .


    Davido amekuwa akisubiriwa kutoa album kwa muda wa miaka sita sasa, hivi karibuni Obo alitangaza ziara yake ya 30 billion Africa tour iliyoanzaTarehe 3 march maka huu 2018 nchini Rwanda.

    No comments:

    Post a Comment