Staa wa muziki kutokea Nchini Marekani Zayn Malik na GigiHadid ambaye ni mwanamitindo.
Kupitia Ukurusa wa twitter yake Gig Hadid amethibitisha kuachana naZayn Malik ingawa mashabiki hawajafurahishwa kuachana kwao Kwasababu mashabiki walikuwa wakifurahia uhusiano wao.
No comments:
Post a Comment