Staa Kiss Danuel baada ya kushinda kesi yake dhidi ya lebo yake ya zamani yaG Worldwide.Staa huyu yuko kwenye mahusiano na staa wa kike wa Chidinma.
Rafiki wakaribu wa Chidinma anasema walianza kuwa wapenzi mwanzoni mwa mwaka huu 2018, wamejaribu kufanya siri ila Kiss Daniel amekuwa akiweka picha za Chidinma kwenye ukurasawake wa mtandao wa instagram.

No comments:
Post a Comment