Leo February 28,2018 Club ya Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1. dhidi ya Ndanda fc ya mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda.
Magoli ya Yanga yaliyoweka rekodi na kuvunja mwiko wa kutopata matokeo katika uwanja wa Nangwanda yalifungwa na Pius Buswita dakika ya 6 na Hassan Kessy na huku goli la pekee la Ndanda Fc la limefungwa na Nassoro Kapama dakika ya 46 .
Msimamo wa ligi ya VPL.


No comments:
Post a Comment