• Latest News

    Wednesday, 28 February 2018

    TCRA YA PIGA MARUFUKU NYIMBO 13 ZA BONGO FLEVA .

      

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo February 28,2018 imepiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini kupiga nyimbo 13 za bongofleva ambapo mamlaka hiyo imedai kuwa nyimbo hizo hazina maadili. Halleluya (Diamond Platnums) ,Waka waka  (Diamond platnums),kibamia ( Rostom),chura (Snura),Pale kati patamu  (Ney wa Mitego),Hainaga ushemeji (ManFongo),Iam sorry Jk  (Nikki Mbishi),Tema mate tuwachape (Madee),Uzuri wako( Jux),Nampa papa( Gigy Money )na Nimevurugwa (Snura)
    Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo inaeleza kuwa ilipokea orodha ya nyimbo hizo kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania BASATA ambalo limeeleza kua nyimbo hizo ni kinyume na maadili na kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005.


    No comments:

    Post a Comment