• Latest News

    Wednesday, 28 February 2018

    MADAKTARI KUMFANYIA UCHUNGUZI WA KINA NEYMAR.

    Club ya Paris Saint Germain ya Ufaransa na jopo la madaktari wa timu ya taifa ya Brazil kwa kushirikiana kukaa na kumfanyia uchunguzi wa kina Neyamr  leo wamefikia makubaliano ya kumfanyia upasuaji staa huyo baada ya kuona hakuna njia mbadala ya kutatua tatizo lake zaidi ya upasuaji.
      Nemar aliumia mguu wake wa kulia karibu na enka siku ya Jumapili wakati wa mchezo dhidi ya Marseille.

    No comments:

    Post a Comment