Muigizaji John Dumelo Kutoka Ghana ambaye amejibebea umaarufu kupitia movies nyingi alizofanya na waigizaji kutokea Nigeria amefanikiwa kufunga pingu za maisha na mke wake May 12,2018 akiwa Ghana.
Harusi ya staa huyo imeudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Jackie Appiah, Nadia Buari, Yvonne Nelson,Ramsey Noah na wenige.








No comments:
Post a Comment