• Latest News

    Saturday, 21 April 2018

    ZARI THE BOSSYLADY AMEGUSWA NA KIFO CHA AGNES MASOGANGE.



    Zari the bosslady in miongoni mwa mastaa walionyesha kuguswa na kifo cha video vixen huyo ambapo ametumia insta story take na  kuandika ujumbe kwa Marehemu Agnes Masogange. 
       “Hatukuwa marafiki sana lakini tangu upate namba yangu umekua ukinitumia meseji kila mwezi na hakuna mwezi uliopita haujauliza kuhusiana na watoto wanaendeleaje pumzika kwa amani dada

    No comments:

    Post a Comment