• Latest News

    Friday, 2 March 2018

    RICK ROSS AMEKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUPOTEZA FAHAMU.

       

    Rapa Rick Ross amekimbizwa hospitalini jioni ya jana March 2, 2018 baada ya polisi kupigiwa simu kuhusu staa huyo kupata matatizo ya kupumua na kupoteza fahamu.

    Polisi walipokea simu mida ya saa tisa na nusu usiku kwa saa za Marekani na kwenda kumchukua msanii huyu na ambulance na kwa sasa yupo hospitalini akipata matibabu, wanasema anasumbuliwa na pneumonia.

    No comments:

    Post a Comment