Mtangazaji wa kipindi cha 5Selekt EATV Tbway amepata ajali akiwa na gari yake usiku huu maeneo ya Makumbusho Kijitonyama.
Tbway amepata ajali na gari yake kuharibika,DJ Choka ambaye alifanikiwa kufika eneo la tukio, amethibitisha kuwa mtangazaji huyo yupo salama na anaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment