• Latest News

    Saturday, 10 March 2018

    MAN UNITED YA FUNGA LIVERPOOL GOLI 2-1


     Man United waliikaribisha Liverpool kwenye uwanja wao wa Old Trafford kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018.
    Mchezo huo ambao umechezwa Old Trafford umemalizika kwa Man United kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ya Man United yote yakifungwa na Marcus Rashford dakika ya 14 na 24 wakati goli pekee la Liverpool kilipatikana kwa beki wa Man United Eric Bailly kujifunga dakika ya 66 baada ya kushindwa kuzuia mpira uliopigwa na Sadio Mane.

    No comments:

    Post a Comment