• Latest News

    Friday, 2 March 2018

    HERRY KANE AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA.


    Mshambuliaja wa klabu ya Tottenham Hotspurs   Harry Kane usiku wa jana march 1,2018 amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa London Football.
    Kane amewashindana  Cesar Azpilicueta wa Chelsea, Heung-Min Son wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen wa Tottenham Hotspur na Wilfried Zaha wa Crystal Palace.

    Roy Hodgson meneja wa Crystal Palace ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka.

    Ryan Sessegnon naye ameshinda tuzo ya mchezaji bora mdogo wa mwaka.

    No comments:

    Post a Comment