• Latest News

    Friday, 2 March 2018

    ARSENE WENGER AMEYASEMA HAYA BAADA YA KUFUNGWA NA MANCHESTER CITY.

    Baada ya club ya Arsenal kufungwa magoli 3 - 0 na  Manchester City  katika mchezo wa ligi kuu  nchini Uingereza wakiwa nyumbani katika uwanja wa Emirates na hii si mara ya kwanza kwani wiki iliyopita walikubali kipigo kama hicho toka kwa haohao Manchester  City.
     Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji wake walikosa kujiamini na ndo sababu ya kupoteza mchezo huo na kuwataka kuwa na umoja na kufikiria mchezo ujao.

    No comments:

    Post a Comment