Kuelekea kuanza kwa michuano ya kombe la dunia 2018 kampuni ya Coca Cola ambayo ni mmoja ya wadhamini wa wakubwa wa michuano hiyo imeandaa wimbo maalum kwa ajili ya kusherehesha michuano hiyo.
Wasanii husika ambao wamepewa nafasi ya kutengeneza wimbo huo ni mmarekani Jason Derulo ambaye atashirikiana na Diamond Platnumz, Cassper Nyovest, Sami Dani kutoka Ethiopia, Ykee Benda kutoka Uganda na Lizha James kutoka Msumbiji.


No comments:
Post a Comment