• Latest News

    Friday, 2 March 2018

    CEDRIC BAKAMBU NDIYE MCHEZAJI GHALI TOKA AFRIKA KWA SASA.


    MchezajikutokaDemokrasiayaCongo,Cendric Bakambu amekamilisha usajiri wake kwenye klabu ya Beljing Guonya China ,na kuwa mchezaji ghali kutoka barani Afrika kwa sasa.

    Klabu hiyo ya ligi kuu ya soka nchini China , haijaweza kuweka hadharani dau la kiasi cha pesa alizo nunuliwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26.

    Lakini imesema kanunuliwa zaidi ya dola mil.77 za kimalekani.

    No comments:

    Post a Comment