Bingwa wa Olimpiki Duniani Usain Bolt amepata nafasi ya kuchezea soka katika uwanja wa Manchester United wa Old Trafford.
Usain Bolt atakuwa nahodha wa timu ya pamoja ya watu maarufu na wanasoka ambayo itashiriki mechi ya Soccer Aid ambayo itaandaliwa na UNICEF mwezi June 10 ,2018.
Usain Bolt “Ni ndoto yangu kufanikiwa kama mchezaji wa soka la kulipwa,kucheza dhidi ya baadhi ya wachezaji nyota, hilo litakuwa jambo la kufurahisha sana"

No comments:
Post a Comment