• Latest News

    Tuesday, 27 February 2018

    Kim Kardashiani amemuonyesha mwanaye wa tatu kwa mara ya kwanza.

    Kim kardashian leo February 27,2018 kupitia ukurasa wake wa instagram, ameamua kuweka wazi uso wa mtoto wake wa tatu kwa mara ya kwanza katika mitandao ya kijamii,aitwaye Chicago
    Kupitia ukurasa wake wa instagram Kim Kardashian ameandika " Baby Chicago.
    Mtoto wa tatu wa Kim Kardashia na Kanye West  ambaye ni rapper toka nchini Marekani ,Chicago alizaliwa mwezi uliopita kwa njia ya upandikizaji “surrogate”.

    No comments:

    Post a Comment