Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini Mbeya leo february 26,2018 ,imemhukumu miezi mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema)Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu.
Joseph Mbilinyi amehukumiwa pamoja na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emanuel Masonga baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.

No comments:
Post a Comment