Fastclicktz.Blogspot.com
Staa wa timu ya taifa ya Brazilanayecheza club ya PSG ya Ufaransa Neymar baada ya kuchukua headlines wiki kadhaa zilizopita kutokana na kutoonekana wakati wa game ya PSGna Monaco ya kutangaza Ubingwa wa Ligue One sasa amerejea.
Nermar amerejea nchini Ufaransa baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu wake mwezi March nyumbani kwao Brazil na alikuwa anategemewa kuwa atarejea uwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi .


No comments:
Post a Comment