• Latest News

    Sunday, 22 April 2018

    FC BARCELONA YA TWAA TAJI LA NNE MFULIZO.

                    Fastclicktz.Blogspot.com
    Club ya FC Barcelona ya Hispania usiku wa jana jmosi ya tarehe 21 April 2018 ilicheza mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey dhidi ya Sevilla katika uwanja wa Wanda Metropolitano.
     FC Barcelona wakicheza mchezo wao wa fainali ya Copa del Rey kwa mara ya nne mfululizo wamefanikiwa kutwaa taji hilo kwa kupata ushindi wa magoli 5-0.
     Magoli ya Fc Barcelona yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 14 & 40 Lionel Messi dakika ya 31, Andre Iniesta dk ya 52 na Philippe Coutinho kwa  penati kunako dakika ya 28 ya mchezo huo.


    No comments:

    Post a Comment