• Latest News

    Saturday, 17 March 2018

    YANGA SC WAMETOLEWA.


    Yanga SC wametolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika leo murch 17,2018 baada ya kulazimishwa sare 0-0 dhidi ya Township Rollers ya nchini Botswana matokeo hayo yanaifanya kutolewa kufuatia kupoteza mchezo wa nyumbani kwa kufungwa 2-1 uwanja wa taifa.
    Township Rollers wamefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya vilabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu timu hiyo ilipoanzishwa mwaka 1961. Hayo ni mafanikio makubwa kwa timu hiyo ambayo hawajawahi kuyafikia katika mashindano ya vilabu Afrika, leo hii march 17,2018 wanafanikisha kufuzuu hatua ya makundi.

    No comments:

    Post a Comment