• Latest News

    Saturday, 17 March 2018

    MATOKEO YA AL MASRY VS SIMBA SC.


    Clabu ya simba sc leo march 17,2018 walikuwa ugenini dhidi ya Al Masry ya Misri ,baada ya kutoa sare ya 2-2 uwanja wataifa siku kazaa zilizo pita , na leo kulazimisha sare tena 0-0 ugenini. kutokana na matokeo ya leo Simba Sc wametolewa kwenye michuano ya Shirikisho barani Afrika.

    No comments:

    Post a Comment