Staa wa HipHop DMX kutumikia kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la ukwepaji wa kodi kiasi cha dola milioni 1.7 za Kimarekani.
Upande wa mashtaka uliomba afungwe miaka mitano jela ili iwe funzo kwa mastaa wengine wanaopenda kukwepa kodi. Awali DMX alitakiwa kufungwa miaka 40 jela.
No comments:
Post a Comment