• Latest News

    Friday, 30 March 2018

    HII NDIYO ORODHA YA WAAMUZI WATAKAO CHEZESHA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU ..

    Tayari waamuzi 36 kutoka maeneo mbali mbali duniani watakaochezesha michuano ya kombe la dunia nchini Urussi  wameshatajwa lakini hakuna muamuzi kutoka nchini Uingereza, Scotland, Ireland wala muamuzi kutoka Wales.

    No comments:

    Post a Comment