share habari na marafiki zako. Baada ya Jason Derulo, Msanii toka label ya WCB Rayvanny anakuja na Collabo nyingine na Mmarekani,Diamond Platnums ambaye ni Boss wake amethibitisha kwenye ukurasa wa mtandao wa insatagram uwepo wa collabo hiyo. Read more
No comments:
Post a Comment